Home Siasa MAKAMU WA RAIS AKIWA ZIARANI KICHAMA KINONDONI

MAKAMU WA RAIS AKIWA ZIARANI KICHAMA KINONDONI

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kinondoni  alipowasili katika Ofisi ya DMDP Magomeni Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo Juni  26,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es Salaam.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Kinondoni  leo Juni 26,2020 alipokuwa katika ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Kinondoni  wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika Ofisi ya DMDP Magomeni  Jijini Dar es Salaam leo Juni 26,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Jijini Dar es Salaam.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)