Home Michezo LIVERPOOL YAICHAPA 4-0 CRYSTAL PALACE NA KUUKARIBIA UBINGWA ENGLAND

LIVERPOOL YAICHAPA 4-0 CRYSTAL PALACE NA KUUKARIBIA UBINGWA ENGLAND

0

Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 69 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yalifungwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya 23, Mohamed Salah na Fabinho na kwa ushindi huo Liverpool inahitaji ushindi katika mchezo ujao dhidi ya Manchester City Julai 2 kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa England PICHA ZAIDI SOMA HAPA