Home Siasa MAKAMU WA RAIS ZIARANI WILAYA YA ILALA KICHAMA

MAKAMU WA RAIS ZIARANI WILAYA YA ILALA KICHAMA

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Ilala Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 24,2020 alipokuwa katika ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Ilala wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 24,2020.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Matumishi wa Halmashauri ya Wilaya Ilala alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ilala   Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 24,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ilala.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)