Home Mchanganyiko WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI...

WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA POLISI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Suffian Bukurura, na kushoto ni Katibu wa Bodi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), John Massawe. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Prof. Suffian Bukurura (katikati), wakati alipokuwa anatoa taarifa ya Bodi hiyo, katika Kikao kilichofanyika Ukumbi Mdogo wa Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu wa Bodi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), John Massawe. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Katibu wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), John Massawe (wapili kushoto), wakati alipokuwa anazungumza katika Kikao kilichofanyika Ukumbi Mdogo wa Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Watatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Suffian Bukurura. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.