Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza kuhusu sababu za kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT). Kailima, amezungumza leo katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika, jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Kushoto) akionyesha Katiba ya Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) inayoelezea masharti ya namna mtu anavyotakiwa kujiunga na uanachama wa Chama hicho, Katiba hiyo ilipitishwa na wanachama wa Chama hicho 26 Oktoba 2013 katika Mkutano wao Mkuu uliofanyika Jijini Dodoma. Kailima, amezungumza katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika, Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wafugaji Tanzania, Magembe Makoye.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(Kushoto) akionyesha Katiba ya Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) inayoelezea masharti ya namna mtu anavyotakiwa kujiunga na uanachama wa Chama hicho, Katiba hiyo ilipitishwa na wanachama wa Chama hicho 26 Oktoba 2013 katika Mkutano wao Mkuu uliofanyika Jijini Dodoma. Kailima, amezungumza katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika, Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wafugaji Tanzania, Magembe Makoye.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafugaji Tanzania, Magembe Makoye (Kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Kushoto) walipokuwa katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika, jijini Dodoma.