Home Siasa Mwenyekiti wa CCM wilaya awaomba radhi wanaCCM wilayani humo kutokana na wao...

Mwenyekiti wa CCM wilaya awaomba radhi wanaCCM wilayani humo kutokana na wao kujitokeza kwa wingi kuliko nafasi zilizopo za Kumdhamini Mh Rais

0

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Mkoani Singida Ndg. Jumanne Ismail Makhanda.

Baadhi ya Wanachama wa CCM wilayani Manyoni wakijaza fomu ya kumdhamini Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh. John Pombe Magufuli, katika kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa Oktoba 2020.

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Mkoani Singida Ndg. Jumanne Ismail Makhanda akizungumza na baadhi ya Wanachama wa CCM wilayani Manyoni waliojitokeza  kutaka kumdhamini Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa Mh. John Pombe Magufuli, katika kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa Oktoba 2020