Home Siasa Jaji Mutungi Avihakikishia Usawa Vyama vyote vya Siasa Katika Uchaguzi Mkuu

Jaji Mutungi Avihakikishia Usawa Vyama vyote vya Siasa Katika Uchaguzi Mkuu

0

Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP) John Momose Cheyo akisaini kitabu cha wageni walipotembelea Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi (katika) jana Jijini Dodoma. Mhe. Cheyo ameambatana na ujumbe wa viongozi kutoka vyama 12 vya siasa vyenye usajili wa kudumu visivyo na uwakilishi Bungeni. Kulia ni Katibu Mkuu wa UDP, Bibi. Saum Rashid.

Msajili wa Vyama vya Siasa (RPP), Mhe. Jaji Francis Mutungi akiukaribisha ujumbe wa viongozi kutoka vyama 12 vya siasa vyenye usajili wa kudumu visivyo na uwakilishi Bungeni walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma jana.

Msajili wa Vyama vya Siasa (RPP), Mhe. Jaji Francis Mutungi aakizungumza na ujumbe wa viongozi kutoka vyama 12 vya siasa vyenye usajili wa kudumu visivyo na uwakilishi Bungeni walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma jana.

Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP) John Momose Cheyo akichangia mada wakati wa mkutano baina ya Msajili wa Vyama vya Siasa (RPP), Mhe. Jaji Francis Mutungi na  ujumbe wa viongozi kutoka vyama 12 vya siasa vyenye usajili wa kudumu visivyo na uwakilishi Bungeni walipotembelea Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jana Jijini Dodoma.

Msajili wa Vyama vya Siasa (RPP), Mhe. Jaji Francis Mutungi akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP) John Momose Cheyo (kulia) mara baada ya kukutana ujumbe wa viongozi kutoka vyama 12 vya siasa vyenye usajili wa kudumu visivyo na uwakilishi Bungeni walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma jana.

Msajili wa Vyama vya Siasa (RPP), Mhe. Jaji Francis Mutungi(wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP) John Momose Cheyo (kulia) mara baada ya kukutana ujumbe wa viongozi kutoka vyama 12 vya siasa vyenye usajili wa kudumu visivyo na uwakilishi Bungeni walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma jana.

Katibu Mkuu wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Saum Rashid akionesha ishara ya kuaga mara baada ya kumaliza mazungumzo baina ya  ujumbe wa viongozi kutoka vyama 12 vya siasa vyenye usajili wa kudumu visivyo na uwakilishi Bungeni na Msajili wa Vyama vya Siasa (RPP), Mhe. Jaji Francis Mutungi (hayupo pichana) jana Jijini Dodoma.

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza (mwenye kofia) akiwasindikiza baadhi ya wawakilishi wa viongozi wa vyama 12 vya siasa vyenye usajili wa kudumu mara baada ya kumaliza ziara yao katika Ofisi za Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) jijini Dodoma jana.