Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu (Kushoto) akipata picha ya pamoja na mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mhe. Salma Rashid Kikwete pamoja na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega baada ya kuvunjwa kwa bunge la 11 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu (Kushoto) akipata picha ya pamoja na Waziri wa Tamisemi Mhe.Selemani Jaffo baada ya kuvunjwa kwa bunge la 11 Jijini Dodoma.