Home Mchanganyiko SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

0

Ikiwa leo ni siku ya mtoto wa Afrika, ambayo imeadhimishwa kimya kimya mkoani Katavi kwa tahadhari ya maambukizi ya homa kali ya mapafu, pichani baba mmoja akionekana kukatisha mitaa ya Usevya katika Halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele akiwa na mwanawe mgononi. hii inadhihirisha namna mzazi huyu anavyojali katika malezi ya mtoto wake!

Picha na Zilpa Joseph