Home Michezo MASHINDANO YA GOLF DIPLOMATIC FIDDLE YAFANYIKA WAZIRI NDUMBARO ASHIRIKI

MASHINDANO YA GOLF DIPLOMATIC FIDDLE YAFANYIKA WAZIRI NDUMBARO ASHIRIKI

0

******************************

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE DK DAMAS NDUMBARO AMESHIRIKI KATIKA SHINDANO  LA DIPLOMATIC  LILILOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA GYMKHANA NA MARYANNE MUGO NA RICHARD KARIMJEE KUIBUKA NA USHINDI KWA POINTI 17 KWA 18.

AKIZUNGUMZA MARA BAADA YA MASHINDANO HAYO AMBAYO FIDDLE ILIYOANDALIWA NA WIZARA MAMBO YA NJE YENYE LENGO LA KUMUAGA MWAKILISHI MKAZI WA SHIRIKA LA CHAKULA DUNIANI WFP  MICHAEL ALIYEHAMISHIWA NAIROBI NCHINI KENYA

KWA UPANDE WAKE MSHINDI WA SHINDANO HILO MARYANNE MUGO AMESEMA AMEFANIKIWA KUWASHINDA WANAUME LAKINI KIKUBWA NI KUTAFUTA FURSA NA URAFIKI KUPITIA MCHEZO HUO NA KUWATAKA WANAWAKE PIA KUJITOKEZA ZAIDI KUCHEZA GOLF

KWA UPANDE WAKE MWAKILISHI MKAZI WA WFP  MICHAEL DANFORD NA MCHEZAJI WALIOAMBATANA NAYE JACK  LANGWORTHY WAMESEMA WAMEFARIJIKA SANA KWANI MASHINDANO YALIKUWA MAZURI NA YENYE KUVUTIA.