Home Mchanganyiko TANZIA:MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MULEBA AFARIKI DUNIA

TANZIA:MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MULEBA AFARIKI DUNIA

0

#SadNews: Mhe Chrisant Kamugisha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba amefariki dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Rufaa ya Bugando,Mwanza . Kifo chake kimetokana na ajali ya pikipiki.