Home Mchanganyiko MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba,  Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Paramagamba Kabudi, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kushoto) na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia , Profesa Joyce Ndalichako (katikati), Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata, nje ya jengo la  Bunge jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)