Home Mchanganyiko WAZIRI MHAGAMA AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA NGAZI YA TAIFA NA...

WAZIRI MHAGAMA AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA NGAZI YA TAIFA NA KAMATI YA UTENDAJI CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT)

0

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) alipokutana nao kwa lengo la kuwapongeza viongozi hao. Kulia ni Rais wa Chama Walimu Tanzania (CWT) Bi. Leah Ulaya.

Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) wakifuatilia kwa makini maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipokutana nao katika ukumbi wa mkutano wa PSSSF, Jijini Dodoma.

Rais wa Chama Walimu Tanzania (CWT) Bi. Leah Ulaya akitoa shukrani na kuelezea namna uongozi huo mpya utakavyosimamia Chama hicho.

Kamishna wa Kazi Msaidizi Bw. Andrew Mwaluisi (kulia)akieleza jambo wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa PSSSF, Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akikabidhi Cheti cha Pongezi kwa Bi. Ulumbi Shami ambaye ameteuliwa kuwakilisha Kundi Maalum la Walimu Wenye Ulemavu.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT). Kulia ni Rais wa Chama Walimu Tanzania (CWT) Bi. Leah Ulaya, (kushoto) ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Bw. Deus Seif na Makamu wa Rais (CWT) Bi. Dinah Mathaman.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) alipokutana nao Jijini Dodoma.

PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)

OWM – KVAU