Home Michezo SIMBA YAIBAMIZA KMC MABAO 3:1 KWENYE DIMBA LA MO ARENA BUNJU

SIMBA YAIBAMIZA KMC MABAO 3:1 KWENYE DIMBA LA MO ARENA BUNJU

0

**********************

Klabu ya Simba imefanikiwa kuibamiza KMC mabao 3:1 katika uwanja wa Mo Simba Arena uliyoko Bunju Dar es Salaam ambapo mechi hiyo ilikuwa ya kirafiki kwaajili ya kujiweka fiti kwa mechi za ligi zijazo.

Mabao ya Simba yalifungwa na John Raphael Bocco dak 34,75 na goli lingine likiwekwa kimyani na Ibrahim Ajibu dak 88 wakati goli pekee la KMC likifungwa na Charles Ilanfya dak 30.