Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI MHAGAMA AKIKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA...

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI MHAGAMA AKIKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA

0

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiwa ameongozana na wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga kwa lengo la kukagua maendeleo ya mradi huo.

Meneja wa Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Karanga Bw. Masoud Omari (wa pili kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga, Mkoani Kilimanjaro.

Mhandisi wa Mradi, Mrakibu wa Magereza James Sukambi (kulia) akimuonesha mpaka wa eneo la kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiangalia pamoja na Wasimamizi wa mradi ramani ya eneo la ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga kilichopo Moshi, Mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na dereva wa Katapira Bw. George Michael alipokuwa akikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga, Moshi Mkoani Kilimanjaro.

PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)

OWM – KVAU