Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)