Home Mchanganyiko Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation Yasaidia Wanafunzi Wilayani Ukerewe, Yatoa Msaada wa...

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation Yasaidia Wanafunzi Wilayani Ukerewe, Yatoa Msaada wa Vitanda, Magodoro na Vifaa vya Kukabiliana na Majanga

0

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza Ester Chaula (Kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,  Focus Majumbi (aliyevaa miwani) wakipokea msaada kutoka kwa Meneja mauzo mwandamizi wa Vodacom kanda ya Ziwa Victoria Chale (mwenye T-shirt nyekundu) na Meneja Miradi wa taasisi ya Sukos Kova Foundation Rahma Kova.wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vitanda, magodoro, vifaa vya kuzimia moto, Mablanketi ya kuzimia moto, mipira ya kuzimia moto, maboya ya kujiokoa kwenye maji, vifaa vimetolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation na vina thamani ya zaidi ya Sh 95Milioni.