Home Michezo SAMATTA NA ASTON VILLA YAKE WAREJEA MAZOEZINI KUMALIZIA MSIMU WA LIGI KUU...

SAMATTA NA ASTON VILLA YAKE WAREJEA MAZOEZINI KUMALIZIA MSIMU WA LIGI KUU YA ENGLAND

0

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa mazoezini na klabu yake Aston Villa kujiandaa kumalizia Ligi Kuu ya England iliyosimama tangu katikati ya Machi kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID17