Home Mchanganyiko SIMBACHAWENE AMUAGA MPAMBE WAKE ALIYEMALIZA MUDA WAKE KATIKA UTUMISHI WA UMMA

SIMBACHAWENE AMUAGA MPAMBE WAKE ALIYEMALIZA MUDA WAKE KATIKA UTUMISHI WA UMMA

0

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa kwanza kushoto) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa pili kushoto)
aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Wizara SIMBACHAWENE AMUAGA MPAMBE WAKE ALIYEMALIZA MUDA WAKE KATIKA UTUMISHI WA UMMAhiyo jijini Dodoma leo. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa tatu kulia) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa kwanza kulia) aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio hilo limefanyika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma
leo. Wengine ni baadhi ya Watumishi wa Wizara hiyo.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa pili kushoto) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa tatu kushoto) aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma leo. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio wakiwa pamoja na baadhi ya Watumishi wa Wizara hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kulia) akimuaga aliyekuwa mpambe (ADC) wa Waziri Simbachawene, Mathias Stephano (Wa kwanza kushoto) aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio lililofanyika katika
Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma leo. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa kwanza kushoto) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa pili kushoto)
aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma leo. Wa tatu kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.