Home Michezo RONALDO AMNUNULIA MAMA YAKE BENZ MPYA KALI KUSHEREHEKA SIKU YA MAMA DUNIANI

RONALDO AMNUNULIA MAMA YAKE BENZ MPYA KALI KUSHEREHEKA SIKU YA MAMA DUNIANI

0

NYOTA wa Juventus, Cristiano Ronaldo amemzawadia mama yake, Maria Dolores, Mercedes Benz mpya katika kusherehekea Siku ya Mama duniani.
Na Maria Dolores mwenye umri wa miaka 65, ambaye hivi karibuni alipelekwa hospitali baada ya kupooza ameposti kwenye social media kumshukuru mwanawe kwa zawadi hiyo PICHA ZAIDI SOMA HAPA