Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA. MEI 03, 2020

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi)
kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa
Iramba Magharibi) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , , Mei 03, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla
iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa
Iramba Magharibi) akizunguma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya kuapishwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , , Mei 03, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza mara baada ya kumuapisha Dkt. Mwigulu
Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa
Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) akisaini hati ya kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli mara baada ya kuapa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , , Mei 03, 2020.

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa
Iramba Magharibi) mara baada ya kuapishwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla
iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , , Mei 03, 2020.

PICHA NA IKULU