Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya simu mteja wa
Vodacom Abutwalib Mtua alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu, kuangalia namna
watoa huduma wanavyowalinda Wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa
barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka
ya kampuni hiyo. Wengine kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC,
Rosalynn Mworia na Mkuu wa Idara ya Uhusiano, Jacquiline Materu.
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya Power Bank mteja
wa Vodacom, Naseeb Shaban alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu kuangalia
namna watoa huduma wanavyowalinda Wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji
wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye
maduka ya kampuni hiyo. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Uhusiano, Jacquiline Materu.
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akipimwa joto na Askari wa ulinzi wa Duka
la Vodacom, Masafa Hamad Muba hii ni namna mojawapo ya kampuni hiyo inavyowalinda wateja wake
katika kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa
vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya Power Bank mteja
wa Vodacom, Ruth Samuel Mkuchu alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu kuangalia
namna watoa huduma wanavyowalinda Wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji
wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye
maduka ya kampuni hiyo.