Home Mchanganyiko JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA

JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA

0
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Augustino Ramadhani amefariki Dunia leo saa mbili Asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN