Home Mchanganyiko WABUNGE WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MPANGO WA MAENDELEO ENDELEVU (SDG 1&20

WABUNGE WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MPANGO WA MAENDELEO ENDELEVU (SDG 1&20

0

Wajumbe wa Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji wakifatilia mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) yaliyotolewa na Mchumi kutoka Wizara ya Fedha, Ndg. Josiah Mwabeza katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Peter Serukamba (Kushoto) akichangia wakati wa mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) katika
semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Mheshimiwa Mahmoud Mgimwa.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Mhe Mahmoud Mgimwa (Kulia) na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Peter Serukamba (kushoto) wakifatilia mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Mheshimiwa Mahmoud Mgimwa (Kulia) akichangia wakati wa mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii.