Home Mchanganyiko SALAM ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.

SALAM ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.

0

Picha na  Ikulu]  23/04/2020.

***********************

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa Salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

Pia aliwatakia waislamu wote mfungo mwema  wa Mwezi huu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali ikiwemo sadaka na zaka na mengineyo  pia kuondokana na mikusanyiko isiyofaa kuyaepuka maradhi   yaliyoingia Duniani kote na kufuatana maelekezo yanayotolewa na Viongozi wao pamoja  na kujihifadhi na kuyashinda mambo mbali mbali  yanayobatilisha funga kwa ujumla.