Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA KUZUNGUMZA...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. CHATO MKOANI GEITA. APRILI 22, 2020

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof.
Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto . Hafla
iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

Prof. Mabula Daudi Mchembe akila kiapo
mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea
kazi Prof. Mabula Daudi Mchembe mara baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto .Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na
Usalama kuhusu hali ya ugonjwa wa Corona nchini, ambapo kabla ya kikao hicho Mhe. Rais amemuapisha Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto .Hafla
iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.
PICHA NA IKULU