Home Michezo CRISTIANO RONALDO ANAVYOJIFUA NYUMBANI KWAKE KUJIWEKA FITI ZAIDI

CRISTIANO RONALDO ANAVYOJIFUA NYUMBANI KWAKE KUJIWEKA FITI ZAIDI

0

Nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19