Home Michezo WACHEZAJI WASAIDIZI LUGALO WATAKIWA KUCHUKUA TAHAADHARI WAKIWA MAJUMBANI

WACHEZAJI WASAIDIZI LUGALO WATAKIWA KUCHUKUA TAHAADHARI WAKIWA MAJUMBANI

0

*****************************

WACHEZAJI WASAIDIZI WA KLABU YA GOLF YA LUGALO WAMETAKIWA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI YA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA NA KULIOMBEA TAIFA WAKIWA MAJUMBANI MWAO.

HAYO YAMESEMWA NA AFISA HABARI WA KLABU YA LUGALO KUFUATIA MGAO WA CHAKULA ULIOTOKANA NA MICHANGO YA WANACHAMA WA KLABU HIYO KATIKA KUWASAIDIA WACHEZAJI WASAIDIZI KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO MICHEZO IMEFUNGWA.

WAKIZUNGUMZA KILA MMOJA KWA WAKATI WAKE ALIPOFIKA KUCHUKUA CHAKULA HICHO  MBALI NA KUSHUKURU LAKINI WAMETOA WITO KWA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI NA UGONJWA HUO