Home Michezo GOFU LUGALO WATAKIWA KUSHIRIKI MAOMBI YA KULIOMBEA TAIFA KUMUUNGA MKONO AMIRI JESHI...

GOFU LUGALO WATAKIWA KUSHIRIKI MAOMBI YA KULIOMBEA TAIFA KUMUUNGA MKONO AMIRI JESHI MKUU.

0

**************************

WACHEZAJI WA KLABU YA GOFU YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA YA LUGALO WAMETAKIWA KUUNGANA NA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU KUFANYA MAOMBI KWA AJILI YA TAIFA LETU DHIDI YA UGONJWA CORONA.

WITO HUO UMETOLEWA NA AFISA HABARI WA KLABU YA LUGALO LUTENI SELEMANI SEMUNYU WAKATI AKIZUNGUMZIA KINACHOENDELEA SASA BAADA YA KLABU HIYO  CHINI YA MWENYEKITI WAKE BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU MICHAEL LUWONGO KUSITISHA SHUGHULI ZA MICHEZO.
AMESEMA KINACHOTAKIWA SASA KWA WACHEZAJI KUFANYA MAZOEZI BINAFSI NA KUMUOMBA MUNGU WAKATI HUO WAKICHAPA KAZI NA KUCHUKUA TAHADHARI KAMA ZILIVYOTOLEWA NA WATAALAM WA AFYA NA SERIKALI.
KLABU YA LUGALO IMESITISHA MICHEZO YOTE KATIKA UWANJA HUKU HUKU SHUGHULI ZA KUUTUNZA UWANJA NDIZO ZIKIWA ZINAENDELEA PEKEE ILI KUTUNZA MIUNDOMBINU YAKE..