Home Mchanganyiko TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUPOTEA KWA MTOTO

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUPOTEA KWA MTOTO

0

Mtoto amepotea anaitwa Samir Daim Luambani ana miaka 8, anasoma Darasa la pili St.Mary’s. Mtoto anaishi Image- Dodoma.

Amepotea tarehe 14/04/2020 saa 1 jioni akiwa amevaa suruali track suti nyeusi na jezi yenye rangiya kijani na nyeupe na koti la dark blue.

Tafadhali kwa atakayemuona atoe taarifa kituo cha polisi kilicho karibu naye au kwa namba zifuatazo namba:

0712 455 228, 0653 822 486, 0716 671 085, 0682 805 208, 0787 239 439, 0712 730 788.