Home Mchanganyiko PROF.JANABI AKABIDHI ZAWADI MBALIMBALI ZA PASAKA KWA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA...

PROF.JANABI AKABIDHI ZAWADI MBALIMBALI ZA PASAKA KWA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

0

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi mtoto mwenye matatizo ya moyo aliyelazwa katika Taasisi hiyo Elizabeth Omari zawadi ya Pasaka wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam

Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya huduma ya Uuguzi Robert Mallya kumkabidhi zawadi ya pasaka mama wa mtoto Wilson Willium wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam

Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya huduma ya Uuguzi Robert Mallya kumkabidhi zawadi ya pasaka mama wa mtoto Silvanus Brayton  wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam

Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Teresia Marombe na Rehema Bakari wakimkabidhi mtoto mwenye matatizo ya moyo aliyelazwa katika Taasisi hiyo Ikram Samari zawadi ya pasaka wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam

Picha na: Genofeva Matemu – JKC