Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (Wa kwanza kulia) alipokuwa akitoa elimu ya Kujengwa Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwa Watumishi hao, elimu hiyo imetolewa leo katika
Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akisisitiza jambo kuhusiana na elimu ya Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika Ofisi za Wizara hii,
Jijini Dodoma leo.
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akitoa ufafanuzi wa elimu ya Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma leo.
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akielezea dalili za Ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika Ofisi za Wizara
hii, Jijini Dodoma leo.
Mtumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Stanslaus Kagali (aliyenyanyua mkono), akimuuliza swali Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akitoa elimu ya Kujengwa Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwa Watumishi wa Wizara hii Jijini Dodoma leo.
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akijibu swali la mmoja wa Watumishi wa Wizara hii alipotaka kujua jinsi ya kujikinga na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), elimu
hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.