Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA...

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

0

RAIS  Mstaaf wa Zanzibar Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume  akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika leo katika viwanja vya kaburi, akiwa ongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.

WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuhudhuria hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika kaburi la marehemu leo,7/4/2020, (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed

WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa na (kulia) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar. Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe. Dkt. Amani Karume wakiwa na baadhi ya Viongozi wakisubiri kuwasili kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuhudhuria hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Oamr Kabi na (kulia) Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim na (kushoto) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali, wakielekea katika viwanja vya kaburi la Marehemu Abeid Amani Karume, kwa ajili ya kumuombea Dua iliofanyiuka leo 7/4/2020.

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa,Waziriu wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe. Dkt. Amani Karume na Mwakilishi wa Mabalozi Wadogo Zanzibar. Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyopo Zanzibar Mhe. Jorge Augusto Menezez, wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakihudhuria hafla ya dua maalum ilioyofanyika leo 7/4/2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa,Waziriu wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe. Dkt. Amani Karume,wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakihudhuria hafla ya dua maalum ilioyofanyika leo 7/4/2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa,Waziriu wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe. Dkt. Amani Karume na Mwakilishi wa Mabalozi Wadogo Zanzibar. Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyopo Zanzibar Mhe. Jorge Augusto Menezez, wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakihudhuria hafla ya dua maalum ilioyofanyika leo 7/4/2020

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe.Mohammed Aboud Mohammen na Rais Mstaaf wa Zanzibar, Mhe Dkt. Amani Karume, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibare Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) wakati wa dua hiyo ya kumuyombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

MUWAKILISHI wa Familia ya Mzee Abeid Amani Karume Mhe. Balozi Ali Karume, Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyopo Zanzibar Mhe. Mhe. Jorge Augusto Menezez, Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe.Dkt. Amani Karume na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, wakitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) wakimuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliofanyika katika viwanja vya kaburi la marehemu Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)