Mkurugenzi wa REPSSI Edwick Mapalala kushoto akimkabidhi mganga mkuu wa wilaya ya Kibiti Martin Mwandiki msaada wa kujikinga na virusi vya Corona.
Maafisa wa REPSSI na serikali ya Kibiti wakiwa njiani kuwafuata wananchi waliko
Tumaini Godwin, Kibiti
Shirika
la Regional Psychosocial Support Initiative (REPSSI) kwa kushirikiana
na Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti wameamua kupita mtaa kwa mtaa kutoa
elimu kwa jamii juu ya namna ya kujikinga na virusi vya ugonjwa wa
corona ‘covid 19’.

Bila kutengeneza mikusanyiko ya
watu, maafisa wa REPSSI na halmashauri ya wilaya hiyo walikuwa wanatumia
gari ya matangazo kutoa elimu hiyo kwa jamii ili kujkinga na ugonjwa
huo.

Akizungumza katika kampeni hiyo, Mkurugenzi wa
REPSSI Tanzania, Edwick Mapalala amesema ni muhimu jamii kuchukia
tahadhali kwa kufuata miongozo yote inayotolewa na wataalamu wa afya.

“Mnatakiwa kunawa maji mara kwa mara na hakikisheni hamkai kwenye misongamano,” alisema Mapalala.
Alisema
REPSSI imeamua kushirikiana na Serikali katika kuamua wanatoa elimu kwa
jamii ili ijikinge na maambukizi ya ugonjwa huo unaotikisa dunia.

“Na
tunasisitiza watoto watunzwe na walindwe, wasiachwe mitaani hovyo ndio
maana shule zimefungwa. Kila mzazi na mlezi ahakikishe usalama wa mtoto
wake,” alisisitiza.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Kibiti, Mohamed Mavura amesema wilaya hiyo imechukua tahadhari
zote kupambana na maambukizi ya ugonjwa huo.

Aliyaomba mashirika mengine kusaidia katika kutoa elimu na vifaa kwa wananchi ili waendelee kujikinga.
Kwa
upande wake, Naye Afisa Maendeleo ya Jamii wa Wilaya ya Kibiti, Antony
Nyange amesema mkakati uliopo ni kupita katika kata zote kutoa elimu
hiyo.

“Tutapita kwenye kata zote mpaka za visiwani,
tunataka wananchi wapate uelewa kuhusu corona kwa sababu ugonjwa huu
unahtaji tahadhari kubwa,” amesema Nyange.