Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI CAG KWA MWAKA 2018/19 PAMOJA NA TAARIFA YA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA PCCB KATIKA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Makamu wa Rais Samia Suluhu, pamoja Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wakitoka kwenye ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Spika wa Bunge Job Ndugai wakwanza kushoto waliokaa, akifatiwa na CAG Charles Kichere, Mkurugenzi Mkuu
wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo wapili kutoka kulia waliokaa pamoja na Wafanyakazi wa Ofisi ya TAKUKURU na CAG, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kupokea Taarifa ya CAG kwa
Mwaka 2018/2019 pamoja na Taarifa ya TAKUKURU leo tarehe 26/03/2020.

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere akisoma Muhtasari wa Taarifa yake ya Mwaka 2018/2019 katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge Job Ndugai akipima joto la mwili kabla ya
kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa akipima joto la
mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma Muhtasari wa Taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya Mwaka 2018-2019 iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo
tarehe 26/03/2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti mbili za Mwaka 2018/19, moja kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Taarifa ya Mwaka 2018/2019 ya CAG pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi mara baada ya kuwakabidhi pamoja na Taarifa ya TAKUKURU kwa ajili ya kuzifanyia kazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26/03/2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma

PICHA NA IKULU