Home Mchanganyiko MAKATIBU WAKUU WAKUTANA KUJADILI MIGOGORO YA ARDHI

MAKATIBU WAKUU WAKUTANA KUJADILI MIGOGORO YA ARDHI

0

Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali za Serikali wamekutana katika ofisi za Wizara ya Ardhi zilizopo Mtumba jijini Dodoma na kujadili utekelezaji wa maamuzi ya Serikali kuhusu utatuzi wa migogoro ya matumizi ya Ardhi ya Vijiji 975 nchini.