Home Michezo KLABU YA SIMBA YAMPOTEZA MWANACHAMA WAKE ASHA MUHAJI

KLABU YA SIMBA YAMPOTEZA MWANACHAMA WAKE ASHA MUHAJI

0

***********************

Klabu ya Simba leo imepata pigo baada ya kufiwa na Mwanachama, mdau mkubwa wa klabu hiyo Asha Muhaji

Enzi za uhai wake, Muhaji aliyefariki leo Hospitali ya Hindu Mandal alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi, alipata kuwa Afisa Habari wa Simba

Alikuwa Mwandishi mwandamizi wa magazeti ya Bingwa na Dimba

Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali Pema, AMEN…