Home Mchanganyiko MAHANGA AFARIKI DUNIA

MAHANGA AFARIKI DUNIA

0

************************

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Mkoa wa Ilala, Makongoro Mahanga, amefariki dunia leo Jumatatu Machi 2020 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa za msiba huo zimetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mkoa wa Ilala Bw. Jerome Olomi.