Home Mchanganyiko RC MTAKA AWAASA WATANZANIA KUPENDA KUANDIKA NA KUSOMA VITABU

RC MTAKA AWAASA WATANZANIA KUPENDA KUANDIKA NA KUSOMA VITABU

0

*******************************

MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Anthony Mtaka amewaasa watanzania kuandika na kusoma vitabu ili kutumia maarifa yaliyoko vitabuni kuharakisha maendeleo ya Tanzania na Afrika.

Mhe Mtaka ameyasema hayo leo Jijini Dodoma wakati wa hafla fupi ya kupokea kitabu cha MAKING AFRICA WORLD’S LARGEST ECONOMY, kutoka kwa Mwandishi wa Kitabu hicho, Ndugu Derek Murusuri. Kulia ni Ndg John Kayombo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma na kushoto ni Ndg Abdallah S. Kirungu, afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje.