Home Burudani CARPOZA x CAT P WAACHIA NGOMA YA NAKULA BATI

CARPOZA x CAT P WAACHIA NGOMA YA NAKULA BATI

0

******************************

NA EMMANUEL MBATILO

Msanii wa Vichekesho anaekuja kwa kasi kwenye tasnia hiyo, Carpoza ameachia ngoma inayokwenda kwa jina la NAKULA BATI akiwa pamoja na muandaaji wa nyimbo hapa nchini Rahim Mataja maalufu Cat P.

Wimbo huu ni wapili kwa wasa\nii hao wakishirikiana kwani mwanzo waliachia kichupa cha USIKU ambapo unaendelea kufanya vizuri.