Home Biashara Vodacom Tanzania yatoa elimu ya kujikinga na virusi vya Corona

Vodacom Tanzania yatoa elimu ya kujikinga na virusi vya Corona

0

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC. makao makuu Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini  Dkt. Ismail Gatalya  wakati akitoa elimu na mafunzo kwa wafanyakazi hao juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.