Home Mchanganyiko KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, CHRISTOPHER KADIO...

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, CHRISTOPHER KADIO AWAONGOZA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE, YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA KUPOKEA TAARIFA YA MRADI WA UJENZI MAKAO MAKUU YA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA), JIJINI DODOMA.

0

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Aliyesimama) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wajumbe hao wamepokea Taarifa ya Mradi
wa Ujenzi Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Katikati), akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Salum Rehani (Wa kwanza kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea Taarifa ya Mradi wa Ujenzi Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Watano kushoto) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Wajumbe wa Kamati hiyo wamekagua eneo utakapofanyika Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Anorld Kihaule (Wa kwanza kulia) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Wajumbe wa Kamati hiyo wamekagua eneo utakapofanyika Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Anorld Kihaule (Wa kwanza kulia) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Wajumbe wa Kamati hiyo wamekagua eneo utakapofanyika Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kushoto), Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Salum Rehani (Wa pili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Anorld Kihaule (Wa kwanza kulia) pamoja na Wajumbe wengine wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, wakitoka kukagua eneo la Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo..

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Anorld Kihaule (Wa kwanza kulia) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Wajumbe wa Kamati hiyo
wamekagua eneo utakapofanyika Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.