Home Mchanganyiko WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TEMEKE, JIJINI...

WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TEMEKE, JIJINI DODOMA, LEO

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi, masuala mbalimbali ya kikazi. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri
huyo, jijini Dodoma, leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akiagana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi, alipokuwa akifafanua jambo baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Mji wa Serikali,
Mtumba, jijini Dodoma, leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.