Home Mchanganyiko Mafunzo kwa wajumbe wa Bodi TRA

Mafunzo kwa wajumbe wa Bodi TRA

0

Mkuu wa Chuo cha Kodi Prof Isaya Jairo akimkabidhi Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa TRA, Bi. Alice Lukindo cheti cha ushiriki wa mafunzo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dr. Suleiman Missango (wa sita mbele) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi na
Wakuu wa Idara za TRA mara baada ya kufungua mafunzo ya uongozi na utawala. Kushoto kwake ni Kamishna Mkuu wa TRA Dkt Edwin Mhede.

Mkuu wa Chuo cha Kodi Prof. Isaya Jairo akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRA Bw. Molemi Marwa cheti cha ushiriki wa mafunzo

Mkuu wa Chuo cha Kodi Prof Isaya Jairo akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRA Dr. Eliab Luvanda cheti cha ushiriki wa mafunzo

Mkuu wa Chuo cha Kodi Prof. Isaya Jairo (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRA Dr. Suleiman Missango Cheti cha ushiriki wa mafunzo

Baadhi ya Wakuu wa Idara wa TRA katika majadiliano wakati wa mafunzo

Mwenyekiti wa Bodi na wajumbe wengine wa Bodi katika majadiliano wakati wa mafunzo