Home Mchanganyiko MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KUHUSU JUMUIYA YA MADOLA (CPA)

MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KUHUSU JUMUIYA YA MADOLA (CPA)

0

Afisa wa Bunge Ndg. Dastan Mpelumbe akifafanua jambo walipokuwa wakitoa Elimu kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma kuhusu Shughuli zinazofanya na Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kama sehemu ya kusherehekea siku ya Kimataifa ya Jumuiya ya Madola Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Maafisa wa Bunge wakifafanua jambo walipokuwa wakitoa Elimu kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma kuhusu Shughuli zinazofanya na Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kama sehemu ya kusherehekea siku ya Kimataifa ya Jumuiya ya Madola Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Mwakilishi wa Bunge la Vijana la CPA anayeiwakilisha Tanzania Ndg. Hamisi Hincha akifafanua jambo walipokuwa wakitoa Elimu kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma kuhusu Shughuli zinazofanywa na Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kama sehemu ya kusherehekea siku ya Kimataifa ya Jumuiya ya Madola Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)