Home Biashara TBS YAENDELEA KUTOA ELIMU YA BIDHAA ZENYE UBORA WILAYANI RUNGWE

TBS YAENDELEA KUTOA ELIMU YA BIDHAA ZENYE UBORA WILAYANI RUNGWE

0

Wananchi wa Rungwe wakipatiwa elimu juu ya majukumu ya TBS na umuhimu wa kutumia bidhaa zilizothibitishwa ubora wake na TBS. Vilevile walipatiwa namba ya bure 0800110827 kwa ajili ya kutoa taarifa zinazohusiana na bidhaa hafifu

Wananchi wa Rungwe wakielekezwa jinsi ya kuangalia muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa katika bidhaa mbalimbali

Wananchi wa Rungwe wakielekezwa jinsi ya kuangalia muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa katika bidhaa mbalimbali

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), kupitia maafisa wake limeendelea na kampeni ya utoaji wa elimu ya viwango vya bidhaa katika maeneo mbalimbali ambapo kwasasa wapo katika wilaya Rungwe pamoja na Tukuyu kuhakikisha wananchi wanaelewa kuhusu ubora wa bidhaa.

Hata hivyo katika kampeni hiyo Wanafunzi wa shule ya Sekondari Tukuyu waahidi kuwa mabalozi wa masuala ya ubora na wameiomba TBS kufikisha elimu hiyo kwa shule zingine na wananchi kwa ujumla.