Home Michezo LACAZETTE AING’ARISHA ARSENAL IKIICHAPA 1-0 WEST HAM UNITED

LACAZETTE AING’ARISHA ARSENAL IKIICHAPA 1-0 WEST HAM UNITED

0

Alexandre Lacazette (katikati) akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 78 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja Emirates, London PICHA ZAIDI SOMA HAPA