Home Mchanganyiko WANANCHI KARATU KUPATA HUDUMA YA MAJI YA UHAKIKA

WANANCHI KARATU KUPATA HUDUMA YA MAJI YA UHAKIKA

0

Waziri wa Maji,Mhe.Prof.Makame Mbarawa akiwa na viongozi wa wilaya ya Karatu kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Karatu Bi.Theresia Mahongo kabla ya kuanza kutembelea miradi ya maji ya Karatu mjini na miradi ya maji iliyopo katika vijiji vya Bugar na Kansay.

Waziri wa Maji Mhe.Prof.Makame Mbarawa akiwa katika miundombinu ya mradi wa Maji wa Kansay pembeni yake ni Mkuu wa wilaya Bi.Theresia Mahongo.

Moja ya miundombinu ya mradi wa mji wa kwa TOM wilayani Karatu.

…………………………………………………………………………………………