Home Biashara SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI ZA UCHMU NA FEDHA ARUSHA YAFUNGWA

SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI ZA UCHMU NA FEDHA ARUSHA YAFUNGWA

0

 

 Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Utafiti na Sera za Uchumi Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Suleiman  Missango, akitoa hotuba ya kufunga semina kwa niaba ya Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayeshughulikia masuala ya  Utawala na Udhibiti, Bw. Julian Banzi Raphael kwenye ukumbi wa BoT jijini Arusha Machi 6, 2020

 Mkurugenzi wa BoT Tawi la Arusha, Bw. Charles Yamo, akizungumza kwenye hafla hiyo ya ufungaji.

Meneja Uhusiano na Itifaki, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Zalia Mbeo, akieleza madhumuni ya semina hiyo.

Katibu wa wanasemina, Bw. Bakari Kimwanga, akizungumza wakati wa hafla ya kufunga semina hiyo.

 Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari jijini Arusha Bw. Claud Gwandu akitoa shukrani zake kwa niaba ya washiriki wa mkoa huo.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika semina hiyo.

Bw. John Bukuku wa Fullshangwe Blog, Dar es Salaam

Picha ya pamoja.