Home Mchanganyiko WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA WADAU WA NISHATI MBADALA

WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA WADAU WA NISHATI MBADALA

0

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiongea na ujumbe kutoka Oryx gas Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaamikiwa ni maongezi juu matumizi ya gesi katika kupunguza wimbi la ukataji miti.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Burn Stove kutoka Kenya ambao walimtebelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaam ikiwa ni kwa ajili ya mazungumzo juu ya matumizi ya nishati mbadala wa mkaa ili kupunguza ukataji wa miti.